Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, September 26, 2011

Mbio za Mbuzi zafanyika Jana

Baadhi ya mbuzi’Vodafasta’ waliodhaminiwa na Vodacom Tanzania wakishiriki mbio hizo zilizokuwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hapa nchini, mbio hizo zilifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto Meneja Uhusiano na habari za mtandao wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,Afisa Udhamini Ibrahim Kaude,Mkuu wa Udhamini George Rwehumbiza wakifurahia ushindi wa mbuzi waliomdhamini ‘Vodafasta’katika mbio za mbuzi zilizokuwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hapa nchini, mbio hizo zilifanyika jana jijini Dar es Salaam.

Mshereheshaji wa mbio za mbuzi zilizodhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana akiingia kwa madaha,Mbio hizo zilikuwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hapa nchini.



Mmoja wa wapenzi wa mbio za mbuzi akipiga kinywaji chake kwa staili yake katika viwanja hivyo wakati mbio hizo zikiendelea zilizokuwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hapa nchini, mbio hizo zilifanyika jana jijini Dar es Salaam.

1 comment:

Kelkaf said...

Jamani mpaka wazungu waje watuonyeshe matatizo yetu wenyewe na mbinu za kuyatatua...tatizo la watoto yatima lipo na wote tunalijua na hata kufanya harambee tungeweza ila sijui huu usingizi tutaendelea lala hadi lini..anyway big up waandaji wa mashindano haya