Bwana Donan Ritte akionyesha mtambo ambao unasafisha maji taka yaliyotumika kiwandani hapo kwa ajili ya kutunza mazingira.
Mpishi msaidizi wa Serengeti Breweriers Donan Ritte akifafanua jambo mbele ya washindi wa promosheni ya shindano la Tusker milioni 500 kwa mashabiki namna ya chupa zinavyosafishwa kabla ya kuwekwa kimimika chochote.
Mpishi msaidizi wa Serengeti Breweriers Donan Ritte akiwaonesha washindi mbalimbali walioshinda zawadi katika promosheni ya shindano la Tusker milioni 500 kwa mashabiki lililomalizika hivi karibuni,moja ya mitambo inavyofanya kazi.
Pichani kati ni Meneja Usalama wa kampuni ya bia ya Serengeti John Nyamwanga Mataria akitoa maelekezo kuhusiana na kitengo chake cha mambo ya usalama kazini kwa washindi mbalimbali walioshinda zawadi katika promosheni ya shindano la Tusker milioni 500 kwa mashabiki lililomalizika hivi karibuni, washindi hao leo wametembelea kiwanda cha Serengeti Breweriers kilichopo Chang'ombe wilayani Temeke jijini Dar na kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji wa bia na vinywaji vingine katika kiwanda hicho, kulia kwake ni meneja wa bia ya Tusker Ritha Mchaki.
Mpishi msaidizi wa Serengeti Breweriers Donan Ritte akionyesha kinu ambacho hupokea ngano kabla ya kwenda kukobolewa, tayari kwa kusagwa na kupikwa katika mitambo ya kiwanda hicho, kulia ni Meneja wa kinywaji safi kabisa cha Tusker,Rittah Mchaki akisikiliza kwa makini.
Mpishi msaidizi wa Serengeti Breweriers Donan Ritte akionesha moja ya kifaa maalum kwa washindi mbalimbali walioshinda zawadi katika promosheni ya shindano la Tusker milioni 500 kwa mashabiki lililomalizika hivi karibuni,kinachoonyesha namna ngano inavyokobolewa tayari kwa kufuata hatua nyingine.
Baadhi ya washindi mbalimbali walioshinda zawadi katika promosheni ya shindano la Tusker milioni 500 kwa mashabiki lililomalizika hivi karibuni,wakisalimia na Meneja wa kiwanda hicho cha Serengeti Breweries Ltd,Bwa.Colman Hanna.
No comments:
Post a Comment