Kufuatia tatizo sugu la maji lilodumu kwa muda mrefu
katika halmashauri ya manispaa ya Lindi,Rais Kikwete amewaagiza madiwani
wa halmashuri hiyo kukaa kwa pamoja na mamlaka ya maji safi na maji
taka Lindi(LUWASA) ili kuzungumza na kufikia muafaka wa kumaliza tatizo hilo la maji.
Rais
Kikwete ametoa agizo hilo katika futari ya pamoja na wakazi wa mkoa wa
lindi iliyofanyika nyumbani kwake, na kuitaka halmashauri ya Manispaa
Lindi kuikopesha fedha LUWASA shilingi milioni 12 kila mwezi hadi Mwezi
Disemba mwaka huu kwa ajili ya kusaidia kupunguza tatizo la maji,na
baadaye fedha hizo zitarudishwa na wizara ya Maji. Picha na habari na
Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii, Lindi.

No comments:
Post a Comment