Mke wa Rais ya Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Rais wa Burundi Dkt. Denise Bucumi Nkurunziza wakati wa chakula cha futari katika Ikulu ya Zanzibar Agust 5,2011. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Mama Mwanamwema Shein (kulia) akimpatia zawadi mbalimbali Mke wa Rais wa Burundi Dkt, Denise Mucumi Nkurunziza baada ya hafla ya futari katika Ikulu ya Zanzibar Aug,5,2011, Mke huyo wa Rais Burundi yupo katika ziara ya siku sita nchini . (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Mama Salma Kikwete kulia na Mama Dkt. Denise Mucumi Nkurunzinza (alievaa batiki) wakiangalia moja ya kompyuta wanazotumia wanafunzi hao Mwanafunzi Zainab Musa wa shule ya sekondari maalumu ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA inayoendeshwa na Taasisi ya WAMA iliopo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani akimuonyesha mazoezi ya vitendo katika maabara jinsi ya tofauti matumizi ya moto. Mke wa Rais wa Burundi Dkt. Denise Mucumi Nkurunziza (kushoto alievaa nguo ya brown) akiwa na Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA ,Mama Salma Kiwete. (Aug,5,2011- Picha na Mwanakombo Jumaa -MAELEZO)..
Picha ya pamoja ya wake wa Marais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Dkt, Denise Nkurunziza wa Burundi pamoja na baadhi ya viongozi wa taasisi mbalimbali za wanawake Zanzibar, (Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO)
No comments:
Post a Comment