Katibu Mkuu Wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa
--
Hatimaye kwa ujasiri bila wogo wala kulindana, kamati kuu ya Chadema imewatimu madiwani wake watano mkoani Arusha ambao walikiuka maagizo ya chama na kuingia muafaka kinyemela na CCM kisha wakapewa vyeo vya unaibu Meya na kamati mbili za kudumu. Hongera CHADEMA hayo ndiyo maamuzi ya kweli kwa maana nyia mliandamana Arusha kupinga mfumo potofu uliyomuweka Meya madarakani na si kupewa cheo cha unaibu Meya na kamati, Bila shaka wakazi wa Arusha watawaelewa na kuwapa tena viti hivyo.

Mdau
Edson Kamukara
Edson Kamukara
1 comment:
Fukuza fukuza ya CHADEMA hiyo. Dictetorship!! Huo ndiyo utawala bora?? Madiwani wenu walio na uchungu na Arusha wanatafuta muafaka mnawafukuza!! Je Mhe. Lema naye mtamfukuza? Maana alikuwa anajua kila kitu kilichokuwa kinaendelea na alikuwa sehemu ya mwafaka. Baadaye akaingia mitini na kuwatosa madiwani wake. Haya bwana hiyo ndiyo siasa.
Mdau
Post a Comment