| Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi wa nane nane jijini mbeya | 
| Viongozi wengine wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi | 
| Wanafunzi wa shule mbali mbali nao walikuwepo kwenye ufunguzi huo | 
| EXIM BANK nao hawakuwa mbali na wakulima kuwapa tia huduma ya kujiunga na banki hiyo uwajani hapo | 
| Moja ya watumishi wa benki kuu ya Tanzania akitoa maelekezo kwa mkulima alietembelea banda la BOT | 
| wauzaji wa vifaa vya computer wakiwa tayari kuwahudumia wateja wao | 
| TTCL nao hawapo nyuma katika kutoa huduma uwanjani hapo | 
| kweli furahia nane nane | 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment