Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 3, 2011

BREAKING NEWSSS VITUO VYA MAFUTA MBEYA VYAGOMA KUTOA HUDUMA

Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma kuuza mafuta aina zote sababu ya kupinga hatua ya  EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo  wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bel kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao
Hiki ni kituo cha  ORYX ambacho kilikua kinaendelea kutoa huduma bila kujua wenzao wamegoma kuuza mafuta 
BP Mbeya mjini
BEI MPYA ZA MAFUTA
Baadhi ya madereva wakigombea mafuta

No comments: