
Mbunge wa Nzega (CCM) Dkt. Hamis Kigwangalla akichangia Bungeni leo wakati wa kujadili makadirio ya mwaka wa fedha 2011-2012 ya Wizara ya Viwanda na Biashara Dodoma . (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Wabunge wakibadilishana mawazo nje ya viwanja vya Bunge Dododma leo (kulia) Ritta Kabati (viti maalumu-CCM), (kushoto) Rajab Mbarouk Mohammed (CUF-OLE) na Prof. Kulikoyela Kahigi (CHADEMA-Bukombe) mwenye miwani. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment