Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, August 30, 2011

AUAWA KIKATILI NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KISA ALIIBA KUKU ENEO LA MWENGE SHULE YA MSINGI MBEYA


 Marehemu NASIB EXZAVERY maalufu kama Mkemia akiwa amechomwa moto eneo la viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya kwa kosa la wizi wa kuku ambaye Mwenye Kuku huyo hajafahamika.

 Marehemu NASIB pamoja na Kuku waliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo.
 Inasikitisha sana
 Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya
 Gari hili ndilo linalodaiwa kuwa marehemu alikuwa akifanya kazi kama Utingo.
Watoto wa shule ya Msingi Mwenge wakiwa eneo la Tukio.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hii dunia hii sasa hivi sijui imekwisha kweli au vipi...yaani kabisa kweli jamani kumchoma binadamu mwenzako moto hivi hivi huko nawe unaangalia mpaka anaungu huku akiangaika bila huruma . Kwa kweli inasikitisha kiasi kwamba natokwa hadi na machozi...

Kelkaf said...

Hivi kwanini watu wanajichukulia hatua tu vyombo vya dola vinafanya nn?