Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizindua Mradi wa MPesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha Buigiri Chamwino Dodoma , JUlai 23, 2011. Wapili kushoto ni Murugenzi Mtendaji wa CODACOM, Bw. Dietiof Mare.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalikmiana na baadhi ya wanawake walionufaika na \mikoko iliyotolewa na Mfuko wa VODACOM FOUNDATION baada ya uzinduzi wa Mradi wa MPesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha Buigiri, Chamwino Dodoma, Julai 23, 2011. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa VODACOM, Bw. Dietiof Mare.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:
Post a Comment