Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 1, 2011

SERENGETI FIESTA 2011 DODOMA YABALIKIWA NA MKUU WA MKOA WA DODOMA DR MSEKELA



DK JAMES MSEKELA MWENYE MIC
Mkuu wa mkoa wa Dodoma DK JAMES MSEKELA amesema kufanyika kwa tamasha la Serengeti Fiesta Dodoma licha ya kutoa fursa kwa vijana kukutana pamoja pia litachangia kukua kwa mzunguko wa kwa wafanyabaishara mkoani humo.
DK MSEKELA ambaye pia ni Mhandisi amesema kitendo cha vijana kukutana pamoja kupitia tamasha hilo la Serengeti Fiesta pia kutadumisha umoja na mshikamano wa taifa hili.
Tamasha hilo la Serengeti Fiesta lililo na kauli mbiu ‘HABARI YAKO BINAFSI,HAINA MAJOTROO’ kwa mwaka huu litafanyika mkoani Dodoma Julai 1 kwenye uwanja wa Jamuhuri mjini humo ambapo wasanii mbalimbali maarufu watapanda kwenye jukwaaa moja.
Kwa hisani ya Lukaza Blog

No comments: