Mkurugenzi Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akikabidhi jezi na mipira kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda. Kulia ni Meneja wa timu ya TEF Masoud Sanani akishuhudua. Vifaa hivyo vitatumika katika mchezo wa kirafiki baina ya kati ya timu ya TEF na SBL mjini Arusha.
Absalom Kibanda akikabidhi vifaa hivyo kwa Meneja wa timu Masoud Sanani na katikati ni Teddy Mapunda akishuhudia.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akikabidhi jezi kwa Meneja wa timu ya Jukwaa la Wahariri Masoud Sanani .
Habari kwa hisani ya Sufiani Mafoto
Habari kwa hisani ya Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment