Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 15, 2011

Rais JAKAYA KIKWETE NA DKT BILAL WAHUDHURIA NDOA YA YUSUPH KIKWETE BAGAMOYO LEO.

Bwana Harusi, Yusuph Kikwete akiwa na mkewe Mariam Ombaka, baada ya kufungishwa ndoa
Rais jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete na Bwana na Bi Harusi.
Bwana harusi akipiga picha ya kumbukumbu ya pamoja na wake za viongozi.
Bwana Harusi, Yusuph, akifungishwa ndoa na Sheikh.
Bwana Harusi Yusuph na waumini wa dini ya Kiislamu wakiomba dua baada ya tendo la kufungishwa ndoa.
Sheikh, akitoa mawaidha baada ya bwana harusi kufungishwa ndoa,
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Bilala, wakiwa katika meza kuu kwenye Sherehe hiyo iliyofanyika Bagamoyo leo.
Eeeeh! Swahiba upoooooo! ha ha ha ha...., Rais Jakaya akisalimiana na Mudhihir Mudhihir, walipokutana katika sherehe hiyo.
Mama Salma Kikwete (kati) akiwa na Mama Zakhia Bilal na Mama Asha Bilal, wakati wakiwa katika sherehe hiyo ya ndoa ya mdogo wake na Rais Jakaya Kikwete, Yusuph Kikwete leo mjini Bagamoyo.
Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa na Mama Zakhia Bilal (katikati) na Mama Asha Bilal, wakati wakiwa katika sherehe hiyo ya ndoa ya mdogo wake na Rais Jakaya Kikwete, Yusuph Kikwete leo mjini Bagamoyo.
Bwana harusi, Yusuph Kikwete akiongozana na wapambe wake wakati wakiingia katika uwanja huo kwa ajili ya kufunga ndoa.
Rais Jakaya, akifurahia jambo na Mama Zakhia Bilal (kushoto) na Mam Asha Bilal (wapili kulia)
Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuph Kikwete, iliyofungwa leo mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi. 
Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: