Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 15, 2011

MAJAMBAZI YAZIDIWA NGUVU NA POLISI NAKUTELEKEZA PIKIPIKI NA BASTOLA MTAA WA KITUMBINI JIJINI DAR LEO

Majambazi wawili wapora fedha maeneo ya kitumbini jijini Dar kwa kutumia silaha huku wakiwa na usafiri wa pikipiki,majambazi hayo yalikimbizwa na polisi pamoja na wana nchi hatimaye yalitelekeza pikipiki yao pamoja na bastola nakukimbia kwa kwa miguu polisi wali ichukua pikipiki hiyo na bastola hiyo.tukio hilo limetokea jioni ya leo majira saa kumi.
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio huku mwingine akiikokota pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na majambazi hayo.
Afande akiendelea kuikokota pikipiki hiyo.
Pikipiki iliyoachwa na majambazi hao ikiwa imepakiwa kwenye gari la polisi.
 
Habari kwa Hisani ya Issa Michuzi Blog

No comments: