Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 11, 2011

Rais Jakaya Kikwete Akifurahia Jambo na Mfalme Otumfuo Osei Tutu II


Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na mgeni wake Mfalme Otumfuo Osei Tutu II wa Ashanti,Ghana baada ya kufanya naye mazungumzo na kumpa zawadi ya vazi alilovaa Ikulu jijini 
Dar es Salaam.
Picha na John Lukuwi

No comments: