| Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile akiweka ngao na mkuki katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini mbeya |
| Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya akiweka shada la maua katika mnara huo |
| Nao Mamwene yaani machifu hawakukosa katika tukio hilo mwakilishi wa machifu wa mkoa wa mbeya akiweka shoka kuwakumbuka waliokufa vitani kipindi hicho |
| Mwanafunzi huyu ameziba masikio yake hakutaka kabisa kusikia sauti ya mizinga ilyokuwa inapigwa hapo |
| Wananchi mbalimbali walihudhuria siku hii ya kuwakumbuka mashujaa wetu |
| Wimbo wa taifa ukiimbwa |
| Wanajeshi wakitoa heshima kuwambumbuka mashujaa waliokufa vitani |
| Wakuu wa wilaya wote wa mbeya na wawakilishi wa madhehebu ya dini walikuwepo |
Umati wa watu ukishuhudia tukio hilo
No comments:
Post a Comment