Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, July 10, 2011

KUMBUKUMBU YETU YA LEO

kikosi cha yanga kikipozi ndani ya wanja la maracana huko brazil mwaka 1974. waliokaa tokla shoto ni bona max, maulid dilunga, michael clement, moshi dayan na gibson sembuli. waliosimama toka shoto ni satchmo, athumani kilambo, elias michael, said sanga, abdulrahman juma na omar kapera. hiki ndicho kikosi kilichoiliza simba nyamagana mwaka huo wa 1974, mara baada na wao kutoka katika ziara ya poland.
- Wachezaji mashuhuri sana nchini wa enzi hizo, kuanzia kushoto mwenye mpira Zamoyoni Mogella Golden Boy kutoka Simba Sports, kushoto mlinzi wa Yanga Yusuf Bana na kati kati ni Athuman China.

1 comment:

zitto kiaratu said...

kusema kweli hii picha ya yanga ilikuwa 1973 kule brazil, ukitazama aliyechuchumaa kati-kati ni clement joseph hakucheza ile fainali ya nyamagana, pia aliyesimama wa pili kushoto ni athumani kilambo ambaye hakucheza kule nyamagana 1974, pia picha hii hawako sunday manara na kitwana manara ambao wote wawili walicheza siku hiyo august 10 1974. waliosimama kutoka kushoto ni athmani kilambo,hassan gobbos,elias michael,suleiman said,abdulrahman juma na omar kapera. waliokaa toka kushoto ni rip bona max,maulidi dilunga,clement joseph,moshi dayan na rip gibson sembuli. tunashukuru kwa kumbukumbu !!!!!