![]() |
| - Wachezaji mashuhuri sana nchini wa enzi hizo, kuanzia kushoto mwenye mpira Zamoyoni Mogella Golden Boy kutoka Simba Sports, kushoto mlinzi wa Yanga Yusuf Bana na kati kati ni Athuman China. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
![]() |
| - Wachezaji mashuhuri sana nchini wa enzi hizo, kuanzia kushoto mwenye mpira Zamoyoni Mogella Golden Boy kutoka Simba Sports, kushoto mlinzi wa Yanga Yusuf Bana na kati kati ni Athuman China. |
1 comment:
kusema kweli hii picha ya yanga ilikuwa 1973 kule brazil, ukitazama aliyechuchumaa kati-kati ni clement joseph hakucheza ile fainali ya nyamagana, pia aliyesimama wa pili kushoto ni athumani kilambo ambaye hakucheza kule nyamagana 1974, pia picha hii hawako sunday manara na kitwana manara ambao wote wawili walicheza siku hiyo august 10 1974. waliosimama kutoka kushoto ni athmani kilambo,hassan gobbos,elias michael,suleiman said,abdulrahman juma na omar kapera. waliokaa toka kushoto ni rip bona max,maulidi dilunga,clement joseph,moshi dayan na rip gibson sembuli. tunashukuru kwa kumbukumbu !!!!!
Post a Comment