Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 8, 2011

BREAKING NEWS MBUNGE WA MBEYA MJINI MH JOSEPH MBILINYI ASHIKILIWA NA POLISI

Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi(SUGU) amekamatwa leo jioni na Polisi mkoani Mbeya  akidaiwa kufanya Mkutano wa hadhara maeneo ya uwanja wa Ruanda Nzovwe bila kibali cha jeshi hilo,amenyimwa dhamana yeye yupo rumande mpaka ucku huu. 

2 comments:

Anonymous said...

Aibu kwenu wana mbeya kwa kumtoa kafara mh mbunge wenu na kuishabikia FISTULA AMA FIESTA. NI WAKATI MUAFAKA WA KUIGOMEA BURUDANI CHEAP KAMAFIESTA

Anonymous said...

Aibu ya wapi?, Kusema kwamba anafanya onyesho la bure leo?, u have very cheap mind open your eyez MF!