BREAKING NEWS MBUNGE WA MBEYA MJINI MH JOSEPH MBILINYI ASHIKILIWA NA POLISI
Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi(SUGU) amekamatwa leo jioni na Polisi mkoani Mbeya akidaiwa kufanya Mkutano wa hadhara maeneo ya uwanja wa Ruanda Nzovwe bila kibali cha jeshi hilo,amenyimwa dhamana yeye yupo rumande mpaka ucku huu.
2 comments:
Anonymous
said...
Aibu kwenu wana mbeya kwa kumtoa kafara mh mbunge wenu na kuishabikia FISTULA AMA FIESTA. NI WAKATI MUAFAKA WA KUIGOMEA BURUDANI CHEAP KAMAFIESTA
2 comments:
Aibu kwenu wana mbeya kwa kumtoa kafara mh mbunge wenu na kuishabikia FISTULA AMA FIESTA. NI WAKATI MUAFAKA WA KUIGOMEA BURUDANI CHEAP KAMAFIESTA
Aibu ya wapi?, Kusema kwamba anafanya onyesho la bure leo?, u have very cheap mind open your eyez MF!
Post a Comment