Picha ya Kukopi katika moja ya gazeti, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, amesimamishwa kazi rsmi leo kufuatia kutangazwa rasmi habari hizo na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemo Luhanjo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo mchana.
Katibu Mkuu, Phillemon Luhanjo, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo mchana ambapo alitangaza rasmi kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, kufuatia kashfa zinazomuandama hivi sasa.
No comments:
Post a Comment