Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2011

Mbeya yetu Journalist Fredy Tony Njeje Visit Steam Pot at Chinese Restaurant this Night

Hii ni Menu ambayo imeandaliwa hapa nilikua mshamba sikujua kama ni vibichi nikataka anza kula kumbe ilikua unachukua na kwenda kujipikia wewe mwenyewe hapa kuna vyakula vya kichina tuu

Hapa najaribu kuwaonesha kwa ukaribu menu paka Miguu ya kuku ilikua ndani ya nyumba wachina hawaachi kitu wadau

Dada anaeonekana hapo anaitwa Ms. Lee ni moja ya marafiki zangu wakubwa tulikua nae piatunachagua menu za kujipikia 

Hapa kama mnavyo ona Shughuli ya Upakuaji wa vyakula kibao inaendelea yani ni mixa mix Grill 

Shughuli ya kuchukua mixa inaelekea kukamilika sasa nikiwa na Ms. Lee

hapa napima kabla ya kwenda kupika na jiko nilishikilia mwenyewe

Wadau hizi ni BBQ za kichina yani mishikaki ya Prowns, Octopus, Kaa, Nyoka, Chura na wadudu kibao wa baharini 

Kutoka kushoto anaitwa Siang, Ms. Lee mimi na Hanif hapa kama mnavyo ona hiyo meza ni Steam pot kuna jiko hapo chini mnajipikia wenyewe  na hivyo ni baadhi ya vyakula tulivyo pika kwa  mara ya kwanza

Hapa najaribu Onja kasamaki wakati vingine vinaiva hapo. imenilazimu kujua kutumia vijiko hivi vijiti

Hapa BBQ zetu zimesha iva tayari kwa kuliwa

Hizi ni Baadhi ya BBQ tam sana watanzania tukiwa wabunifu kama hivi ni poa sana sio mishikaki ya moo tuu kila siku

Hapa nipo nakula Kaa live mtam sana hiyo grass hapo ina chai ya kicina daa ilikua chungu Pembeni Ms. Lee akinichagulia Prawns watam

Daaah hapa tunajiandaa kutafuna zaidi hawa wadudu

Sasa hapa anaeonekana mbele ni Hanif  Jamaa kutoka Iran ambae pia ni Rafiki yangu mkubwa na Ms Lee akiwa bize ana pata supu huku mimi sha shiba balaa naangalia tuu sahani

Menu

Daaah hapa tumesha maliza kila kitu sasa yamebaki masalia

Nje ya mgahawa huo usiku huu wa leo shiba sana

No comments: