Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 1, 2011

Libeneke Jipya la myclubtz.com... Social Network.. Laingia kwa kasi

Aliye kaa chini ndiye Mwanzilishi wa Mtandao huu 
Julius Kato

 My Club Tz Dot Com ni tovuti ya kizalendo na ya kijamii inayokua kwa kasi ya ajabu,ndani ya miezi 2 tangu ianzishwe imeshapata umaarufu katika vyuo mbalimbali vikiwemo IAA (Uhasibu Arusha),UDSM,UDOM na inaendelea kukua kwa kasi siku zinavyozidi kwenda,imetengenezwa na mtanzania,Julius E Kato ambae anamalizia masomo yake ya stashahada ya juu ya sayansi ya kompyuta chuo kikuu Dar es Salaam (UDSM) akiwa na mwenzake Fortunatus Tonelo,tovuti hii yenye mvuto wa kipekee Tanzania inakukutanisha na marafiki ndani na nje ya Tanzania,pia inakuunganisha na tovuti ya kimataifa ya kijamii "Facebook",unaweza kuwaona marafiki zako,kuona yanayojiri na updates za news feed katika wall yako ya facebook ukiwa myclubtz,pia unaweza alika marafiki zako walio facebook unaopenda ujumuike nao katika mtandao wa kizalendo wa kijamii.Tovuti hii ambayo bado haijapewa hata promo lakini watu wameshaijua kutokana na kiunganishi inachotumia ambapo hufikia users zaidi ya 500 kwa siku waliojiunga na mtandao wa kijamii wa kimataifa yaani Facebook.
 Bofya hapa kumtembelea na kujiunga www.myclubtz.com

No comments: