Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 7, 2011

JK AZINDUA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA MITANO

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishiriki kuimba wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda, mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akilihutubia taifa leo mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda. 
(PICHA NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO)
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi

No comments: