Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, June 12, 2011

JE HII NI HALALI KWA WASAFIRI WANAO TUMIA BARA BARA HII.. KUTENDEWA NA WIZARA HUSIKA? MIAKA 50 BAADA YA UHURU TUTAFIKA?

HIVI NI VYOO AMBAVYO VIMEJENGWA PEMBEZONI MWA BARA BARA YA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM. LAKINI CHA KUSHANGAZA VYOO HIVI VIMEFUNGWA MPAKA WAHUSIKA WAWEPO. KWA TUKIO ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA HAPA CHINI.

KUTOKANA NA VYOO HIVYO KUFUNGWA  ABIRIA WANALAZIMIKA KUKIMBILIA MSITUNI KUJISITIRI, WAKATI OFISI AMBAYO INAHUSIKA NA KUKUSANYA MAPATO YA MAZAO NA MIFUGO INAYO PITA ENEO HILI INATOZA KODI...SWALI JE KODI HIZI ZIBAFANYA NINI?




CHA KUSIKITISHA SASA ENEO HILO HILO AMBALO ABIRIA WANACHIMBA DAWA WENGINE WANANUNUA VYAKULA NA MAJI NA KULA KATIKA MAZINGIRA HAYO HAYO

HAPA WANANCHI WAKIHANGAIKA KUPATA CHOCHOTE KATIKA MAZINGIRA HAYO HAYO HATARISHI SANA... JE HII WIZARA HUSIKA INAFANYA NINI?

HIVI NDIVYO VYOO VYA KIKE KATIKA ENEO HILO HUSIKA.. JE  WIZARA HUSIKA YA AFYA HAWAJALIONA HILI SWALA?

NA HAYA MASHIMO NDIVYO VYOO VYA KIUME KATIKA ENEO HILI HUSIKA.. WADAU JE MIAKA 50 BAADA YA UHURU TUTAFIKA?

HIVI NDIVYO VICHOCHORO VYA KUELEKEA KATIKA VYOO HIVYO

HAYA NI BAADHI YA MABASI YAKISUBIRI ABIRIA KUMALIZA KUCHIMBA DAWA


ABIRIA  WAKIJIWEKA SAWA BAADA YA KUMALIZA KUCHIMBA DAWA

No comments: