Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 13, 2011

HILARY CLINTON AMTEMBELEA RAIS JK IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Hillary Clinton akiwa katika picha na Rais Kikwete walipokutana leo Ikulu kwa mazungumzo. Picha na Freddy Maro- Ikulu





No comments: