Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 9, 2011

Duka la Mr DVD lahamia Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya ... Mtembelee sasa


Hapa ndio Mlangoni kwa Mr DVD mkabala na Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya

Mteja akiwa anaulizia DVD mpya zilizo fika dukani hapo

Mmiliki wa Duka hili la Mr. DVD akiwa anampa maelekezo mteja ubora wa DVD zake

KWA MAHITAJI YAKO YA DVD MPYA NA ZENYE KIWANGO CHA JUU MTEMBELEE MR. DVD

No comments: