Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, May 1, 2011

Wananchi Mbeya Vijijini wafanya minada katika mazingira Magumu

 Wananchi Mbali mbali wakiwa katika eneo la Mnada, eneo ambalo kimazingira halijatulia kutokana na matope na uchafu kusambaa kila kona jambo linalo sababisha ugumu katika kuendesha kazi hizo za mnada.
 Wananchi mbali mbali wakinunua bidhaa wakati wa mnada huo
Watu Mbali mbali wakijitahidi kukwepa Matope wakati wakinunua bidhaa mbali mbali katika eneo hilo la Mnadani hivi karibuni.

No comments: