Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 31, 2011

shy-Rose bhanji aitunuku timu ya soka UVCCM kinondoni kwa ushindi

Kada wa CCM, Shy-Rose Bhanji akikabidhi kitita cha sh. milioni moja kwa nahodha wa timu ya vijana wa CCM, Jackson Zola ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa timu hiyo endapo ingeibuka mshidi katika mashindano ya soka kwa timu za vijana wa CCM, iliyoshirikisha majimbo nane ya mkoa wa Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Kinondoni Ndg Emmanuel Makene akizungumza katika hafla hiyo
Shy-Rose akizungumza na wachezaji wa timu hiyo. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Habari kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: