| Enzi za uhai Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya Rungwe Marehemu John Mwankenja akiongoza kikao cha mwisho cha kupitisha bajeti ya 2010 / 2011 |
| Mweshimiwa Mbunge Hilda Ngoye akiwa na huzuni kubwa kwa kuondokewa na jirani yake |
| Nyumba ya marehemu |
| Mkuu wa wilaya Rungwe Jakson Msome akiwa na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya rungwe Mh Mwakipunga wakiwa sehemu y tukio jana usiku |
| Mwili wa marehemu ukihfadhiwa katika chumba cha maiti hospitali ya makandana jana usiku |
| SEHEMU YA NDANI YA GARI ALIMOPIGWA RISASI MH. JOHN MWANKENJA |
No comments:
Post a Comment