Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 20, 2011

BREAKING NEWS: Mnajimu na Mtabiri maarufu Sheikh Yahaya Hussein Amefariki

 Mnajimu na Mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein amefariki dunia asubuhi hii jijini Dar es Salaam. Chanzo chetu cha habari ndani ya ofisi ya Sheikh Yahya kimesema mtabiri huyo amefariki dunia wakati akikimbizwa Hospitali ya Ukombozi iliyopo Morocco, jijini. Sheikh Yahya amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu na aliwahi kwenda India kwa matibabu.

1 comment:

Anonymous said...

kifo chake ni mwisho wa enzi za kuongoza nchi kichawi na vitisho vya kufa. ni mwisho wa nguvu za giza kuingia sehemu takatifu. ni pambazako na nuru ya taifa jipya la tanzania.