Blog yako nzuri sana sana ila ni vizuri sehemu zingine kweka maelezo. Najua aliye katikati ni mkapa na Mwl Nyerere, huyo mwingine ni nani? Uwe unatueleza wasomaji wako. Blog hii ni wote hata watu wa nchi zingine wanaojua Kiswahili.
Yupo sahii kabisa mtoaji maoni alienitangulia.Nafikili lengo kuu la blog hii ni kuelimisha jamii,sasa kama picha zinawekwa bila maelezo na uhakika si watu wote wanawafahamu wote waliopo katika picha hizo,ni vyema maelekezo yakawa yanatolewa katika kila picha ili jamii iweze kuelewa vyema ni wakina nani wapo wapi na walikua wanafanya nini ikibidi hata mwaka wa tukio kama si tarehe na mwezi kama zinapatikana, nafikili ndio utakua lengo la kuelimisha jamii limefikiwa.
4 comments:
Kipara kilikuwa bado kujitokeza na hekima zilikuwa mbali sana na upeo wa macho yake.
Blog yako nzuri sana sana ila ni vizuri sehemu zingine kweka maelezo. Najua aliye katikati ni mkapa na Mwl Nyerere, huyo mwingine ni nani? Uwe unatueleza wasomaji wako. Blog hii ni wote hata watu wa nchi zingine wanaojua Kiswahili.
Yupo sahii kabisa mtoaji maoni alienitangulia.Nafikili lengo kuu la blog hii ni kuelimisha jamii,sasa kama picha zinawekwa bila maelezo na uhakika si watu wote wanawafahamu wote waliopo katika picha hizo,ni vyema maelekezo yakawa yanatolewa katika kila picha ili jamii iweze kuelewa vyema ni wakina nani wapo wapi na walikua wanafanya nini ikibidi hata mwaka wa tukio kama si tarehe na mwezi kama zinapatikana, nafikili ndio utakua lengo la kuelimisha jamii limefikiwa.
agreed! Huyo ni Mugabe? Ni Pinda (sio) , who is he?
Post a Comment