Hapa ni maeneo ya Iwambi ambapo Bibi hawezi ishi njaa kwa kuwa anajibidisha hapa anauza Karanga na ndizi wakati vijana wanahangaika kupiga Debe mtaani.
Babu akiwa katika ujasilia mali kutengeneza vifaa kwa ajili ya kuwekea kuku chakula na maji.
Hapa pia ni eneo ambalo Mzee Hashim anafanya kazi za kuosha viatu vya wadau mtaani
Bibi Halima nae alikuwa akiuza mapera na Chips Dume mitaa ya Mbeya Town
1 comment:
Vijana nao zamu yao inakuja tu. Wacha ipite miaka arobaini nao watakuwa palepale katika kujihangaisha!
Aisee! Leo ni siku yangu ya kuzaliwa; na nakuomba utembelee (nakujiunga pia na) blogu yangu mpya http://ninaewapenda.blogspot.com/
Humu najaribu kuelewesha watu ukaribu walugha zetu (Kiswahili na Siswati/Isizulu/Isixhosa).
Pia najaribu niwapate wanablogu wenzangu kama wewe hapo tuwape watoto washule mawaidha ya kufaulu shuleni... mtaalam hapa hamna... na kila mmoja wetu anatoa mawazo yake kusudi Afrika isonge mbele!
Nakushukuru!
Post a Comment