Hapa taa zisha zimika na Madereva wanajitembea kiholela holela Bora kuwahi
Hii ndio hali halisi eneo la Mwenge ambapo taa huzima muda wote na kusababisha ajali kila siku
Wakati huo Magari haya huwa hapa muda wote yakisubili Lolote litokee ili wapate ridhiki.. na wanatabia ambayo si njema hata kama kausafiri kamechubuliwa wanalazimisha kubeba kupeleka kituo husika cha polisi...hii ni kero sana eneo hili la Mwenge. Hata hivyo kuna baadhi ya wananchi wamelalamika magari haya ya kubeba magari mengine maarufu kwa jina la Break Down kuwa wamiliki wengi ndio wale wale (wanajijua), tunaendelea kufanya uchunguzi juu ya swala la Break Down.
No comments:
Post a Comment