Waandishi wa Mbeya yetu Blog wakwama njiani wakielekea katika tukio la mgomo wa Mabasi Ubungo Muda huu
Madereva wakijaribu kupata nafasi kuelekea Ubungo ambako ndiko kulikuwa na Mgomo
Foleni ikiendelea kutokea Mwenge hadi Ubungo Darajani
Wananchi mbali mbali wakiwa wanangojea usafiri bila mafanikio kutokana na mgomo huo
Mabasi yakiwa yameanza safari zake za mikoani mida ya saa Nane mchana huu
Happy Nation ikiwa inaelekea Dodoma Mchana huu kutokana na mgomo huo
Moro Best nayo ilikumbwa na Kasheshe hilo
Mabasi Mbali mbali yakijitahidi kutoka Getini mara baada ya mgomo huo uliochukua takribani ya masaa kadhaa
Hii ndio Hali halisi ya abiria wakiwa wana haha haha baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo huo wa mabasi yanayo elekea mikoani
Picha zote na Sillah Mbuya na Fredy Njeje wa Mbeya yetu Blog wakiwa Vakasheni Jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment