Wa Kwanza Kushoto ni Danny Tweve Mwandishi mkuu msaidizi Mbeya yetu Blog, aliyeshika Kamera ndiye Mtangazaji wa Tone Radio na mwandishi wa Mbeya yetu blog Fredy Njeje na wa Kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ndiye Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog,hapa tukiwa ofisini kwetu
Fredy Njeje wa kwanza Kushoto na Danny Tweve wakiwa Wanajiandaa kwenda katika tukio
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango akiandaa Kamera kwa ajili ya kuelekea eneo la Tukio
Tukiwa tumepata mgeni kutoka TBC1 wa pili kutoka kulia Nicholas Mwaibale ambaye kwa sasa amehamishiwa Tabora kikazi.
Wageni walio tutembelea jana Usiku, tunapenda kuwashukuru sana
1 comment:
Hapa kweli wamekusanyika wote! Kasoro moja tu: bia moja ya moto na moja ya baridi!
Nawatakia mafanikio tena mema sana katika juhudi zenu zote, Ndugu zangu!
Post a Comment