Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 29, 2011

Ajali Mbaya yauwa na kujeruhi Njia panda ya Mafinga

Gari aina ya Mark II ikiwa imepigwa vibaya Muda mchache Baada ya Ajali kutokea, na pembeni ni Baadhi ya watu ambao walifika kusaidia majeruhi na kuchukua Baadhi ya miili ya Marehemu kuwakimbiza Hospitali huku wengine wakiwa na Minyororo kwa nia ya kunyoosha Gari kuwatoa walio banwa.
Gari kubwa la mizigo lililo acha Njia na Kusababisha  Ajali mbaya iliyo tokea leo Asubuhi
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa eneo la tukio kusaidiana na wananchi

No comments: