Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 13, 2011

Tanzania Online Internet Radio ana kwa ana na Mdau Jijini Kuala Lumpur Malaysia




Ni Presesenta wa Tanzania Online Internet Radio Dj Sir Frenje(Fredy Njeje) nipo Vakashen Malaysia kwa siku tatu Nageuka Bongo Hivi karibuni, nikiwa kitaa cha Jijini Kuala Lumpur Malaysia niligongana uso kwa uso na Mbongo ana julikana kwa Jina la Hernry Tesha anaishi huko,na nilipata nafasi ya kuongea nae live Usiku huo wa jana ambapo aliniambia kuwa yeye anaitambua Radio kwa Muda Mrefu sana, Tulifanya mahojiano kiasi na hii ndio video yenyewe..Nafanya Jitihada ya kuwatafuta watanzania wengine kabla sijaondoka ili nipate fanya nao Mahojiano ya moja kwa moja kupitia Radio ya Mtanzania.

No comments: