Mama yake na Ethan wa kwanza upande wa kushoto akiwa na shangazi yake wa tatu kushoto na Rafiki zake Ethan
Mtoto Ethan akiwa na furaha leo wakati wa Sherehe za kumbukumbu za Kuzaliwa kwake
Baba yake Ethan Andrew Gimbika na Baba mkubwa wake Ernest wakiwa kwa Tukio la sherehe hizo
Baba zake wadogo wa Ethan Fredy Kushoto na Sillah wakiwa kwa Tukio
No comments:
Post a Comment