Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 17, 2011

KUMBUKUMBU

Marehemu Mzee Anthony Simon Njeje
Siku zimepita miaka imepita lakini bado tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa ni miaka mitatu tangu ulipo tuacha Duniani, Kimwili haupo nasi Lakini kiroho uko nasi siku zote, Unakumbukwa sana kwanza na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye Njeje, Luseshelo Ernest Njeje na Fredy Njeje. Pia wajukuu zako Anthony Luseshelo Njeje, na Shikunzi Alvin Njeje na wajukuu wengine wote, Pia Wakwe wote, Wajomba, Mashangazi,Akina Baba Mdogo, Baba Wakubwa, Kaka zako na Dada Zako, Mwisho Ndugu Jamaa na Marafiki popote pale walipo. 
Sisi Tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi Jina la Bwana Libarikiwe Amen

No comments: