Ni Wami-Dakawa-Morogoro. Wengi wetu tunakumbuka tulikuwa wapi siku ile ya tarehe 12 April 1984 wakati Mwalimu Nyerere alipolitangazia taifa kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine kilichotokana na ajali ya gari akiwa njiani kutoka Dodoma kwenda Dar. Mahala hapa panaelekea kutokupewa umuhimu wake unaostahili mbali ya kuwa ni njia ambayo Mawaziri, Wabunge na watendaji wengine serikalini wanapita karibu kila siku wakielekea au kutoka Dodoma.
No comments:
Post a Comment