Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Muheshimiwa Dr. Mary Nagu akizungumza na wajumbe kutoka wizara ya mambo ya nje ya China, ulioambatana na jumuiya ya wafanya biashara wakubwa Duniani kutoka nchini China walipo fika Ofisini kwake Jijini Dar es salaam leo. ujumbe huo umekuja kwa nia ya kujenga mahusiano makubwa Baina ya Tanzania na China katika katika kuboresha na kuinua uchumi wa Tanzania kupitia idara ya Uwekezaji na Uwezeshaji ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment