Makamu wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL akikata utepe kuzindua jengo la kitengo cha tiba kwa ajili ya watoto walioathirika na ugonjwa wa ukimwi uzinduzi huo umefanyika katika majengo ya hospital ya rufaa jijini mbeya
7/3/2011
watumishi wakitengo cha tiba wakiwa katika kpicha ya pamoja na Makamu wa Rais
Hili ndilo jengo la kitengo cha tiba kwa ajili ya watoto walioathirika na ugonjwa wa ukimwi jengo hili limezizinduliwa na makamu wa Rais Dkt. MOHAMMED BILAL 7/3/2011
2 comments:
Ongera Joseph kwa kuliona hili suala la Mbeya kuwa na blog.
I appriciate kazi yako mkuu!!
asante sana nami nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu
Post a Comment