Mchungaji mstaafu Ambilikile Masapila akitoa maelezo kwa maelfu ya wageni wake waliofuata dawa nyumbani kwake kijiji cha Semange kata ya Godigodi wilayani Ngorongoro hapo Jana kuna wasi wasi kwamba maelfu ya wagonjwa na wanaotaka dawa hiyo inapatikana kwa bei poa kabisa Tsh 500
Msongamano wa magari wenye zaidi ya kilometa kumi wakielekea eneo la tukio..kutibiwa
Dawa zikiwa jikoni..zinachemshwa
Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment