Uyole Jijini Mbeya ni mji mdogo ambao unakua kwa kasi kutokana na biashara mbali mbali kufanyika hapo, ikiwa kubwa ni uuzaji wa vyakula mbali mbali na matunda. Eneo hili pia ndipo barabara ya kimataifa imepita inayo elekea Zambia pia Malawi. Ukifika eneo hili utakuta kila mtu anapilika zake na biashara.
Sunday, March 6, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment