Watumishi wakiwa katika jua kali huku wakiendelea kuabudu, Jijini Mbeya maarufu kwa kuwa na makanisa mengi zaidi, na mengine kuongezeka kadili ya siku zinavyo kwenda, imeonekana ni jambo la kawaida sana kwa mtu yoyote tuu ambae anafikilia kuanzisha kanisa anaanzisha paka kufikia kukosa nyumba ya ibada na kuanza kutembea mtaani na pindi wakipata eneo husimama kuweka vyombo vyao kwa kutumia umeme wa Betri na kuanza Ibada. Taswila hii ilikua ni wilaya ya mbozi mji wa Mulowo mida ya sa nne asubuhi siku ya Jumapili
Sunday, March 6, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment