Waziri wa maji Mh.Mark Mwandosya kushoto na katibu mkuu wa wizara ya umwagiliaji na maendeleo ya Maji Malawi Bwana Sandram Maweru wakibadilishana nyaraka za makubariano ya programu ya maendeleo ya bonde la mto Songwe baada ya kusainiwa katika Hoteli Sunbird Mzuzu Malawi 
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog
Hii ni sehemu ya Bonde la Mto Songwe 


No comments:
Post a Comment