Rais Jakaya Kikwete(kulia)akipokea Ujumbe Maalum Kutoka kwa Rais Omar El  Bashir wa Sudan kutoka kwa mjumbe Maalum ambae pia ni waziri wa Mambo  ya Nje wa Sudan Bw Ali Ahmed Karti aliouwasilisha Ikulu Leo Jijini Dar  es Salaa.Picha na Freddy Maro-IKULU 
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment