Muhadhili   kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), Dkt.C.Lwamayanga (kushoto) akiwapa   elimu wadau wa Sanaa juu ya sanaa ya usanifu majengo kwenye Ukumbi wa   Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema wiki hii. Wengine   kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idaya ya Mfuko na Uwezeshaji   BASATA,Ruyembe C.Mulimba,Mkurugenzi wa Utamaduni anayeshughulikia   Sanaa,Bi.Angela Ngowi na Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche  Materego.
Kwa habari ya kina Bofya hapa chini
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment