Kwa wenzetu kulee Bukoba maarufu sana kwa kula wale Nsenene ama wengi wanaita senene, lakini tofauti na Mkoa wa Mbeya wadau wengi wakiona hicho kichuguu hapo juu wanajua tayari ni nini namaanisha, eneo hilo hupatikana jamii nyingine iitwayo kumbikumbi, msimu wake ukifika kila mtu hutaka kuwahi kichuguu hicho ili apate kujokwapulia kitoweo cha kumbi kumbi, usingoje kuhadithiwa wana radha gani msimu ukifika muagizie ndugu, jamaaa ama rafiki alieko mbeya akutumie.
Hawa ndio Kumbi kumbi kwa wale ambao walikuwa hawawafahamu.
No comments:
Post a Comment